Tanzania taifa
Member
- Sep 12, 2024
- 13
- 30
Angeniambia nimpe mawese amchanganyie shemeji.
Mawese πππAngeniambia nimpe mawese amchanganyie shemeji.
Ndiyo.Wanaume ni kupeana maarifa.Mawese πππ
Vipi hiyo rangi ya mawese, hatashitukia mchezo shemeji??Ndiyo.Wanaume ni kupeana maarifa.
Hadi
Mapokeo ya uwabata ni hatari sana, Kwa pamoja tuungane kuwaombea wenzetuπHadi nimecheka kwa nguvu
Hawezi.Rangi inafanana.Vipi hiyo rangi ya mawese, hatashitukia mchezo shemeji??
Alikuwa anajaribu kutatua ya tatizo shemeji, anatumia mafuta vibaya
ππImeisha hiyo
Elon Musk kawazidi wote.