Uwajibikaji katika sekta ya Ujenzi

Mugizi

Member
Joined
Aug 14, 2008
Posts
18
Reaction score
2
Tumekua tukishuhudia majengo yakiporomoka DSM moja had jingine!

Sasa wahusika wenyewe watakuwepo kutueleza hali halisi ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu katika sekta ya ujenzi hapa TZ!

Karibuni nyote British Council DSM - Kesho 26/9/2008 saa moja na nusu hadi saa tatu na nusu asubuhi!

Breakfast will be provided. See attached flyer.
 

Attachments

Mugizi,

tafadhali baada ya huo mkutano naomba utuwekee summary........
 
Presentation mbili za robo saa kila moja halafu majadiliano ya saa moja! Hamna kitu hapa. Ni kujichana na hiyo breakfast tuu.

We are not serious.
 
Nashukuru kwa maoni yenu. Hata yale yanayosema kwamba 'hatuko serious' . Ndiyo maana naipenda JF kwa kuwa 'Freedom of opinion reigns supreme!'

huwa tunaandaa midahalo kuhusu maswala mbali mbali ya kisera kila ijumaa ya mwisho wa mwezi muda huo huo pale British Council. Karibuni sana.

Ndugu Ogah presentations zilizowasilishwa nimeziambatisha hapo chini. Summary ya discussion itakuja baadaye. Mwezi huu watoa mada hawakutoa paper lakini kawaida huwa paper inatolewa pia yenye 'substance' zaidi kwa wale wasomi kati yetu kama FM🙂.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…