mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Aug 27, 2023 #1 Hii haijatokea kwetu ni huko Kenya wanako jua maaana ya uwajibikaji. Baada ya kukatika umeme kwa masaa mawili uwanja wa Ndege wa Nairobi taarifa ya hivi punde ni kuwa mkuu wa viwanja vya Ndege amefutwa kazi.
Hii haijatokea kwetu ni huko Kenya wanako jua maaana ya uwajibikaji. Baada ya kukatika umeme kwa masaa mawili uwanja wa Ndege wa Nairobi taarifa ya hivi punde ni kuwa mkuu wa viwanja vya Ndege amefutwa kazi.
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 1,899 Reaction score 4,055 Aug 27, 2023 #2 Hapa kwetu ajira za kamlete, hatuwezi kuwajibishana