Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
Nchi kadhaa za Magharibi zina utaratibu wa kila mwaka kutoa tathmini/ripoti ya hali ya usalama wa taifa, ambapo pamoja na unyeti unatawala shughuli za taasisi za kishushushu, wananchi hupatiwa fursa adimu ya "kufahamu kinachoendelea" japo kidogo. Wakati kwa hapa Uingereza, ripoti husika hutolewa na kamati ya usalama ya bunge kwa niaba ya taasisi tatu kuu za ushushushu hapa:
MI5 (ya ushushushu wa ndani)
MI6 (ya ushushushu wa nje a.k.a ujasusi)
na GCHQ ya kunasa mawasiliano,
Katika nchi nyingine, ripoti kama hiyo hutolewa na taasisi husika za ushushushu. Japo si lazima, utabibu huu unakuza uwajibikaji na uwazi katika sekta ya usalama wa taifa na taasisi husika.
Ripoti husika ni hii EVARIST CHAHALI has shared a file with you - Acrobat.com