sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni kama utani vile lakini ndio hali halisi.
Mtandao wa kupata leseni za Udereva kwa wiki mbili na zaidi haupo hovyo hata kulipia huwezi kabisa, Mbaya zaidi hawajatangazia Umma hiki kitu.
Iweje mtandao tuliosuka wenyewe utusumbue kihivyo, au hao wataalamu wa IT ni wajomba wa watu fulani waliopachikwa na vyeti vyao lakini hawana uwezo.
Hali ni mbaya wiki mbili mfululizo