sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
sasa wanafanyaje hio update bila kutoa taarifa, Wanadhani tutaendesha magari bila leseniHilo ni kweli, hata Dar mfumo wote unazingua lakini nasikia ni kwa sababu kuna mabadiliko yanafanyika kwa ajili ya huu mwaka mpya ulioanza.
Kwani kwa leseni si ukilipia unapewa risiti na unaendesha kwa kutumia hiyo?sasa wanafanyaje hio update bila kutoa taarifa, Wanadhani tutaendesha magari bila leseni
mkuu huo mtandao unasumbua hadi kwenye risiti ndio hapo sasa lilipo tatizoKwani kwa leseni si ukilipia unapewa risiti na unaendesha kwa kutumia hiyo?
mkuu ulienda ofisi ya mkoa gani, na mimi pia ni kurenew, vipi ulienda kwa matrafiki,,,Ndio na renew leseni kwa mara ya kwanza, nipe hatua ulizopitiaMimi nimerenew jana leseni na baada ya lisaa li 1 nimepata leseni mpya wakuu... Nikaona TRA round hii wamejipanga sana!! Sijajua kwa leseni mpya ipo vipi