Uwakala upi unaolipa zaidi? Mpesa, Tigopesa, Airtel Money na Ezypesa

mocran

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
45
Reaction score
8
Habari wandugu,

Hivi ni kampuni gani kati ya M-Pesa, Tigopesa, Airtel Money na Ezypesa ambayo inaongoza kwa kulipa vizuri commision kwa mawakala wake? Ningependa kujua ambayo inaongoza na ambayo inalipa commission kidogo zaidi kuliko nyengine.
 
It depends on the location of the AGENT, Kwa DAR tigo wanalipa vizuri Na kwa mikoani VODA inafanya vizuri...anyways It can vary depends on your location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…