che wa Tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 277 Reaction score 71 May 14, 2013 #1 Wadau naomba ushauri wa namna ya kuanzisha biashara ya kuwa wakala wa kuuza gesi za matumizi ya nyumbani.....je ni mtaji wa kiasi gani natakiwa kuwa nao na vitu gani napaswa kuwa navyo ili niruhusiwe kufanya hiyo biashara
Wadau naomba ushauri wa namna ya kuanzisha biashara ya kuwa wakala wa kuuza gesi za matumizi ya nyumbani.....je ni mtaji wa kiasi gani natakiwa kuwa nao na vitu gani napaswa kuwa navyo ili niruhusiwe kufanya hiyo biashara