Bilionea one
Member
- Aug 13, 2012
- 90
- 47
Wakuu nilikwenda Tigo pesa mlimani ciy kuomba uwakala wakaniambia hawataki mawakala wapya. Waliopo wanatosha.Nikaenda Vada kuomba m pesa wakaniambia acha leseni na TIN tutakupigia kwa muda wetu. Heri mPESA KIDOGO. Ina maana tIGO PESA WAMESHIBA PESA.
Je, nikshindwa kupata naweza kununua kutoka kwa mtu na nikafankiwa? Au haiwezekani? Naomba ushauri kwa sababu nataka kuwa wakala kampuni zote 3 kubwa. Airtel hawana shida.
Je, nikshindwa kupata naweza kununua kutoka kwa mtu na nikafankiwa? Au haiwezekani? Naomba ushauri kwa sababu nataka kuwa wakala kampuni zote 3 kubwa. Airtel hawana shida.