Uwakala wa Maji Kilimanjaro

Uwakala wa Maji Kilimanjaro

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Nipeni ABC za kupata uwakala wa kuwa msambazaji na muuzaji wa maji ya Kilimanjaro katika eneo ili la Kanda ya Ziwa.
wadau nipo moja ya Wilaya za pembezoni lakini naona kuna shida ya kupata maji chupa kwa shughuli za matumizi ya majumbani, sherehe na ofisi lakini kuna maji ya kuokoteza tu yasiyo na ubora na viwango vya kuaminika.Wazo na nia kuona kuwa opportunity hiyo mie naweza kuwa wakala wa kuuza na kusambaza maji hayo ya Kilimanjaro katika Wilaya hii na jirani na kupata mkwanja wa wastani.
 
Nakuonea donge kwa wazo lako zuri, the threat on the otherside it's an oppotunity....watakuja wadau kukusaidia wala ucjali mm nakupa hongera2 kwa kuiona fursa
 
Naona maafisa masoko wa IPP na Bonite Bottlers hawana access na Jf sehemu nyeti ya kuvinjari na kupata news mwafaka.Kama IGP, Salva Rweyemamu anapita kila dk kuona namna gani habari zinarushwa nawaomba nao pia wajivinjari kwa kina humu.
 
Back
Top Bottom