Uwakala wa tigo pesa

Uwakala wa tigo pesa

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
5,796
Reaction score
4,497
[h=2]HABARI WADAU;[/h]
kama kuna yeyote anayejua/ anamjua au ana ujuzi wa kupata till number ya Tigo pesa (uwakala wa tigo pesa), naomba tuwasiliane. nilifika kwa agents wao mmoja akaniambia kwa sasa wamefunga maombi lakini nashangaa kuna watu wanaendelea kupata, hivyo kama una altenative yake please sms/call 0762959725 or ni pm.
 
Mkuu umefanikiwa kupata? Nami natafuta nipe idea
 
Back
Top Bottom