uwakilishi bungeni

merick david

Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
17
Reaction score
10
HI ndugu zangu wa jamiiforum,
kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunikutanisha nanyi kwani inaaminika kuwa jamiiforum ni mtandao uliojaa wasomi na watu wenye upeo mkubwa wa kufikili, kwa upande mwingine naomba niweze kutoa maoni yangu juu yavyuo vya elimu ya juu nchini tanzania kuwa na wawakilishi katika bunge la jamhuli ya muungano wa tanzania, wawakilishi hawa nazani ndio watu pekee ambao wataweza kutuwakilisha na kupigana katika kuhakikisha tunapatiwa haki zetu kwani inaaminika kuwa wawakilishi hawa ndio wanaojua matatizo yanayo tusibu yakiwemo kutopewa mikopo yetu kwa wakati, mwisho napenda kuwashukuru wana jamiiforum na baadhi ya viongozi wetu ambao kwa maana moja ama nyingine wanaguswa na matatizo yetu huko bungeni kama mh machali,wenje,mnyika na wengine wengi

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…