Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hii movement kwanza ni haramu na imeleta madhara makubwa katika jamii yetu ya sasa kuliko faida au tija. Watoto wetu wa kike wamekuwa brainwashed kuamini vitu ambavyo kiuhalisia havipo na vinabakia kuwa ni nadharia tu. Watoto wa kiume wamedhoofishwa kijinsia na sasa jamii yetu kwa mara ya kwanza inapitia kipindi kigumu cha ombwe na ukosefu wa wanaume imara wa kuijenga jamii yetu na kuisimamia iwe imara.
Ukichimba kwa kina utagundua feminism ni falsafa inayobeba maudhui ya watu wa upinde yaani LGBTQ na ilifaa katika hizo herufi waongezee na herufi F kwa maana ya feminism ili isomeke LGBTQF. Ndani ya feminism hakuna ajenda yoyote inayoshabihi uanamke cha zaidi ajenda mzizi ni kuwabadili watoto wa kike wawe wanaume na wa kiume wawe wa kike jambo ambalo linatoa njia kwa LGBTQ kupenya kirahisi.
Feminism ilipofika kwenye jamii yetu kulikuwa na changamoto kidogo sana za kimalezi na kimahusiano ila kwasasa ni kama changamoto zimeongezeka mara dufu na ukichunguza utangundua feminism imekuwa kichochezi kikubwa cha kuharibu mambo zaidi na kuongeza wahanga kutokana na uwepo wake kwenye jamii. imeshazaa hasara kubwa sana.
Feminism sio tu inawapa watoto wa kike matatizo ya kiakili ila inawapoteza uelekeo wa malengo ya asili ya uwepo wao hapa duniani kwa kuwavuruga kifikra na kuwapa malengo artificial amabayo baadae hugeuka kuwa hewa na kuwapa wakati mgumu kuendelea kuishi katika jamii kama wanajamii wenye mchango positive wa kijinsia.
Wataalamu wa maendeleo husema kuwa unapotaka kujua impact ya program yoyote tazama matokeo yake.
Program ya Feminism imeacha majeraha mengi na makubwa sana ndani ya muda mfupi kuliko faida. Ni program ambayo ninashangaa sana kuona bado kuna watendaji na viongozi wa serikali wanasimama na kuipigia kampeni wakati tayari madhara yake yanaonekana wazi wazi.
Nadhani ni muda muafaka kwa sisi wanajamii especially wanaume wenye vifua vya kiume kuongea wazi kuwa feminism si sera ya ukombozi wa mwanamke tena bali ni sera ya kibaguzi, sera yenye maudhui ya ukosefu wa utimamu wa akili kamamtu zile za mapenzi ya jinsia moja na inavyoendelea kupigiwa chapuo madhara yanazidi kupamba moto.
Wanawake wa sasa ukiwatazama kwa umakini shughuli zao inakupa maswali sana kuhusu mchango wao kama sehemu ya wanajamii na sio wanaharakati. Wanawake wamejikita kwa 90% kwenye shughuli za kiumeni hadi wanasahau nini maana halisi ya kua mwanamke. Ukitoa uvaaji wa nguo za kike, wanawake wa sasa hawana identity ya kijamii kuprove uwepo wao na impact yao katika eneo la kikeni.
Tazama mabinti wa sasa namna walivyo. Hawana heshima na wanaume, msingi au target yao ya kimahusiano na wanaume ni kujipatia kipato nje ya hapo hawana ajenda na mwanaume sababu feminism imewaaminisha mwanaume ni adui nah ana zuri naoi la eneo la pesa wanapindisha kanuni ili kujipatia maokoto baada ya hapo wanarejea kwenye uwendawazimu wa kuwa mafeminist.
Kwa wastani mwanamke wa kitanzania kwasasa hajitambui nafasi yake kama mwanamke sababu feminism imewaambia kuwa mwanamke na uanamke ni udhaifu na ndio maana shughuli za kifeminist zimegubikwa na kila aina ya upotoshaji na kufosi female to male character transition ili wanawake wajisikie ni wanaume. Umeshawahi jiuliza nyuma ya neno “women empowerment” kuna shughuli gani zaidi ya kukopi tabia za kiume na kuzifanya ni za kike.
Kwa kumalizia,feminism haijawahi na haitawahi kuja kuwa mkombozi wa mwanamke. Kinachoendelea kwa sasa ni kujenga msingi mbovu na taswira mbaya sana ya mwanamke kwenye jamii kwa kuproduce wadangaji,single mothers, viburi, uvivu wa kike,na mental illness kama stress na depression. Rai yangu kwa wanajamii ni turejee misingi haraka sana,turekebishe tulipokosea ili watoto wetu wa kike wajao wasijekuwa victims kwa makosa ya kizazi cha sasa cha hovyo cha wanawake wanaofuata mlengo wa kimagharibi wa kifemi
nist.