Uwalimu

Uwalimu

chulu

New Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Ivi serikali inafikiria nini kuajiri walimu wapya waliohitimu mafunzo ya ualimu kutoka mwezi wa tano hadi Leo na huku ikilalamika upungufu wa walimu wakati wataalum hawa wapo mtaani wakiwa hawana chakufanya
 
kwani si inajulikana mwezi ambao huwa wanaajili?
 
Mwl., kaa utulie kila siku tunawaambia hamsikii, ajira mpaka mwez wa tatu, hivi wakiitwa wataalamu na wewe utaenda.? Sasa kaa kimywa Teacher subiri kuvyalishwa mashart ya kijani na kofia za yanga 2015.
 
ungejua kuwa mwalimu ndiye anayeaandaa hao wataalam, usingesema hayo patrick
 
habari nilizozipa ni kuwa ajira zitatoka kwa awamu(intake) awamu ya kwanza ni january..faida kwa watu wa BA.EDUCATION wakati awamu ya pili itatoka march. Asanten
 
Back
Top Bottom