Uwanja mbovu umepunguza kasi ya Yanga

Uwanja mbovu umepunguza kasi ya Yanga

Haki

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2009
Posts
356
Reaction score
17
Uwanja unaochezewa mechi kati ya Yanga na Alhaly ni mbovu. Matokeo si mazuri kwa Yanga mpaka sasa. Yanga wameshazoea kucheza mechi zao kwenye uwanja wenye hali ya juu; uwanja wa kimataifa wa Dar. God bless Yanga and Taifa stars.
 
Back
Top Bottom