Uwanja mchafu unasimamiwa na wachafu

Uwanja mchafu unasimamiwa na wachafu

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
2,601
Reaction score
2,058
Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA.

ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu.

Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
 
Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA.

ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa ss tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu.

Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
WEKA PICHA MKUU, WENGINE HATUPO DARISALAMA
 
Una akili na maono ya Ustaarabu Mkuu, Mtu mweusi na Uchafu ni sawa na Pete na kidole. Majini na mashetani pia hupendelea kwenye uchafu. Hao unaowashauri hawaoni kabisa ule uchafu na hata hawawezi kufanya lolote maaana ni kizazi cheusi chenye mambo meusi hakiwezi penndelea usafi.
 
WEKA PICHA MKUU, WENGINE HATUPO DARISALAMA
Ahsante kaka ! Kwa kusoma andiko langu na kufatilia, kiukweli sina picha ila nikiangalia maonesho live ya Premier league ( NBC) TANZANIA inapochezwa pale uwanja wa UHURU . Kwakweli INASIKITISHA KWA UCHAFU. Halafu wasimamizi wa uwanja wanaona FAHARI.

AZAM TV hivi sasa wanaonesha pia ligi ya nchi fulani INAUMIZA Kuona viwanja vyao vikiwa visafi.

Kwann tushindwe mambo makubwa na haya madogo tu.

Kuna zawadi ya meneja bora wa viwanja kutoka wadhamini wa ligi na hili la MCHAFU BORA LIWEPO na apewe ZAWADI.
 
Hela ya rangi unayo!?..ya wafanya usafi!?..uwanja wa uhuru ni WA jeshi
 
Issue ni UCHAFU !! upo au haupo? Uendelee kuwepo?

Uwanja wa JESHI ? Achana na hizo siasa , jiulize timu zinazocheza pale zinacheza bure? Kama zinalipa pesa inalipwa kwa nani?

Meneja wa ule uwanja ni mwanajeshi?

Kwann JKT TANZANIA isiutumie bure .
 
Rangi ya kupaka pote pale Bei gani na malipo ya uwanja Bei gani!?..uwanja wenyewe umeanza kutumika Sana msimu huu
 
Hivi unadhani ni Nini? Kinachosababisha uchafu ule UWEPO?

WW mahali unapoishi ! Unaweza kuruhusu hali kama ile itokee?

Uwanja unatumika kila msimu isipokuwa mwaka huu ndo Simba na yy kajiunga na timu zingine za Dar/Pwani kuutumia baada ya kuwepo na ukarabati wa Lupaso.

Duuuuh, yaani wanashindwa kupaka rangi sababu eneo ni KUBWA !!! ( rangi kiasi gani itatumika)
 
Wape hela wapake
 
Ahsante kaka ! Kwa kusoma andiko langu na kufatilia, kiukweli sina picha ila nikiangalia maonesho live ya Premier league ( NBC) TANZANIA inapochezwa pale uwanja wa UHURU . Kwakweli INASIKITISHA KWA UCHAFU. Halafu wasimamizi wa uwanja wanaona FAHARI.

AZAM TV hivi sasa wanaonesha pia ligi ya nchi fulani INAUMIZA Kuona viwanja vyao vikiwa visafi.

Kwann tushindwe mambo makubwa na haya madogo tu.

Kuna zawadi ya meneja bora wa viwanja kutoka wadhamini wa ligi na hili la MCHAFU BORA LIWEPO na apewe ZAWADI.
TFF wazingatie hili bandiko lako mkuu
 
Mchafu hata umpe nn, hawezi badilika, kuna eneo umesema ule ni ukungu unaosababishwa na UNYEVU .

MTU MCHAFU NA MVIVU Hali ile lazimq itokee kwenye mazingira yake.
Ukungu hutokana na unyevu ambao chanzo kikuu ni mvua,ule ni uwanja wa serikali,ni wako pia,nenda kausafishe ikiwa inawezekana kusafisha au kapake rangi
 
Nenda kaangalie vipengele vya Mapato kipo kile cha USAFI.

Halafu usafi ni tabia kama ulivyo UCHAFU. Tabia ya wasimamizi na watetezi WAO tabia mojawapo hapo ni YAO.

HUWEZI KUPAKA RANGI NYEUSI ILI KUFICHA TABIA YAKO YA UCHAFU

BASI SAFISHA KILA MVUA INYESHAPO.
 
We mbuzi Sana,kila mvua ikinyesha ukasafishe!?
 
Hongera, sana kwa malezi ya wazazi wako taswira inajionesha sasa, nawashukuru wazazi wangu kwa malezi pia .

Usafi ni asili ya mtu kama ulivyo UCHAFU. unyevu usiposafishwa huleta ukungu mtu msafi hawezi kuleta uvivu wala sababu .
Ila yule Mwenye malezi yenye taswira ya uchafu ataleta visingizio na uvivu.
 
Narudia Tena,wewe ni mpumbavu,nenda na wazazi wako wasafi mkasafishe ule uwanja Kila mvua inaponyesha
 
Back
Top Bottom