Uwanja mchafu unasimamiwa na wachafu

kweli africa ni wachafu ila hatuwazidi wahidi wale viumbe hapana..
 
Huu uwanja mm bado sielewi sijui wana mpango gani nao, yani hata kupaka rangi mistari ile wanashindwa pitch inkw mbaya tu pitch chafu, majukwaa machafu, uwanja wa zamani mpk leo hata taa hauna, mechi zikioneshwa pale hazionekani vizuri km vile camera zimewekwa nyuma ya mabenchi ya ufundi hata huelewi wachezaji wanachz mifumo gani uwanjani...yani ovyo ovyo
 
Juzi niliangalia mechi hata mabenchi ya wachezaji wa akiba, vile vibanda vimebomoka bomoka na kuendeleza hali ya UCHAFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…