Uwanja mpya Dodoma kukamilika 2021

Uwanja mpya Dodoma kukamilika 2021

esther mashiker

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
616
Reaction score
552
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini, Injinia Patrick Mfugale, alisema ndani ya muda huo uwanja huo utakuwa umekamilika. Alisema uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watu kati ya 85,000 mpaka 105,000 ambao watakaa vizuri wanapokuwa wanatazama mpira.

Alisema jana wamewasili eneo la Nzuguni litakalojengwa uwanja huo na wataalamu kutoka Morocco ambao wamekubaliana na michoro ya ujenzi ikiwamo eneo pia. Alifafanua zaidi ya kuwa Rais John Magufuli anataka hata kesho uanze na kuongeza; Magufuli alisema yuko tayari kuchangia chochote ili mradi uwanja ukamilike.

"Kwa kweli hautachelewa tukikamilisha baadhi ya taratibu tu, zoezi la ujenzi linaanza," alisema Mfugale.

Akuzungumzia eneo linalotarajia kujengwa, alisema ni zuri na linafaa kwa ujenzi huo wa kwanza. Aidha, mwakilishi kutoka Morocco, Soussi Yassir, aliipongeza serikali kwa kuteua eneo zuri la ujenzi huo. Alisema ujenzi utaanza haraka iwezekanavyo ili kuhakikisha jiji linakuwa na uwanja wa michezo wa kisasa Alisema hawataiangusha serikali kwa kuwa wamejipanga vizuri kuitekeleza kazi yetu.
 
So what??
 
Urais ni kazi ngumu aiseh.
Nimeona pia amealikwa kuwa Mgeni rasmi siku ya Mei Mosi. Sasa hapo sijui anafanyaje. Rais anae mambo mengi aiseh halafu muda ni mdogo
 
Na lile bomba la mafuta Hoima - Tanga bado ligakamilika June mwakani?
 
Uwanja huo utalaza wagonjwa wangapi kwa wakati mmoja? Watakaa wanafunzi wangapi humo wasio na vyumba vya madarasa na madawati? Watasoma wanafunzi wangapi wasio na vitabu vya kiada na ziada? Watachota maji wote kwa wale wasio na maji vijijini?
Vipaumbele ni tatizo sugu kwa ccm"
 
Urais ni kazi ngumu aiseh.
Nimeona pia amealikwa kuwa Mgeni rasmi siku ya Mei Mosi. Sasa hapo sijui anafanyaje. Rais anae mambo mengi aiseh halafu muda ni mdogo
Uraisi ni kazi rahisi sana ila ukitaka kila kitu ufanye wewe lazima uone ni mzigo kwa kifupi kazi yoyote ile ukiwa unakomaa ufanye mwenyewe lazima iwe ngumu
 
Uwanja wa taifa ule mpya ulijengwa na wachina miaka si chini ya 3 sasa hawa wanataka kusema uwanja mkubwa zaidi ya ule wataukamilisha 2021?
 
Nchi ikiwa na viwanja vikubwa vingi vyenye viwango vya kimataifa ni rahisi kuandaa mashindano makubwa ya kimataifa...

Bahati mbaya sana kwenye nchi zetu hizi timu zetu hazina uwezo wa kujenga viwanja vyao wenyewe, lakini hii kazi ya ujenzi wa viwanja ilipaswa kufanywa na timu au hata halmashauri au majiji...

By the way ni msaada usio na masharti yoyote, ni kama tunapewa zawadi tu...

Hao mashabiki wanawatoa wapi?
Taifa yenyewe haijai na ni 60000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika uhalisia hata kama unapewa msaada ni vizuri ukatumia busara pia. Kosa la kwanza lilitokea uwanja waTaifa ulipojengwa. Hakukuwa na sababu ya kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watu elf60 ambao tunategemea ujae kwa mechi za Yanga na Simba tu (kama kweli unajaa).
Ungejengwa uwanja unaoingiza watu angalau elf40 na mkoa mwingine ungejengwa wenye uwezo wa kuingiza watu ellfu 20.
Na sasa huu wa Dodoma pia ungejengwa wenye uwezo wa kuingiza hata watu elf30 na mkoa mwingine ungejengwa wenye kiwango hicho. Moja ya sifa ya nchi kuandaa mashindano ya kimataifa ni idadi ya viwanja bora, ukiacha sifa nyingine. Kwa mwendo tunaokwenda nao itatuchukua miaka mingi sana kufikia hiyo idadi ya viwanja bora. Ikumbukwe kwamba mpira ni kati ya biashara zinazolipa sana unapokuwa na usimamizi imara. Tutafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni Mtanzania na asili ya kukosoa kila kitu.
Zilijengwa barabara za line mbili, leo unaambiwa hazee hawakuona mbali ona leo wanabomoa. Hospital, mashule, system za maji, magorofa mafupi nk yote hayo kizazi hiki kinayaponda. Kikitengenezwa kikubwa nacho kinapondwa. Sijui Mtz anataka nn zaidi ya kukosoa.
Hao watu laki 1 twawaona ni wengi vipi kwa miaka 10 population itaendela kuwa hiyo hiyo?
 
Uwanja huo utalaza wagonjwa wangapi kwa wakati mmoja? Watakaa wanafunzi wangapi humo wasio na vyumba vya madarasa na madawati? Watasoma wanafunzi wangapi wasio na vitabu vya kiada na ziada? Watachota maji wote kwa wale wasio na maji vijijini?
Vipaumbele ni tatizo sugu kwa ccm"
Kwani na kule ufipa kipaumbele ni nini? naona mwenyekiti anakula ruzuku baada ya kujenga ofisi ya chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wa Dar umejengwa miaka 13 imepita ila haujazi na hauwezi jaza

Wangejenga viwanja vitano vya watu 20000 ingekuwa na maana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wangejenga viwanja viwili vya watu 50,000 kila kimoja ingeleta maana au hata wangejenga ukumbi mkubwa wa mikutano ya kimataifa ungeipa hadhi Dom na mapato ya maana
 
Back
Top Bottom