UNBWOGABLE
New Member
- Jan 27, 2009
- 4
- 0
Uliona mbali sanaKwakweli mimi nitashangaa sana kama Uwanja mpya haitaitwa, Benjamin Mkapa Nation Stedium. Kwani pamoja na ukweli kwamba kuna maovu yaliyofanywa na huyu bwana mkubwa, hili la kujenga uwanja ni jambo jema.
Hatimaye umeitwa sasaHeri hawajauita Benjamin Mkapa...
NaamMkuu Msanilo,
Jina Kamili litakuwa "The Benjamin W M National Stadium😡"