Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Hiyo pesa wajanja wameshajineemesha.Wakuu, unaambiwa huu uwanja umefanyiwa ukarabati na kukosti b19 za kibongo.
Taa hakuna kabisa ni giza tupu, nini kilicho ongezeka hapo zaidi ya, viti, taa na nyasi bandia kama za kmc?
Kwani viti,taa na nyasi bandia zina gharimu kiasi gani?Wakuu, unaambiwa huu uwanja umefanyiwa ukarabati na kukosti b19 za kibongo.
Taa hakuna kabisa ni giza tupu, nini kilicho ongezeka hapo zaidi ya, viti, taa na nyasi bandia kama za kmc?
Ulishawahi kujenga ,unaishi kwa dada utajua nn kuhusu kujengaWakuu, unaambiwa huu uwanja umefanyiwa ukarabati na kukosti b19 za kibongo.
Taa hakuna kabisa ni giza tupu, nini kilicho ongezeka hapo zaidi ya, viti, taa na nyasi bandia kama za kmc?
Billion 2 zinatosha uwanja wa kmcBil 19 unajenga uwanja kama wa KMC...
Bilion 5 Kwa mjibu wa mahojiano ya mkurugenzi wa wilaya ya Bukombe na mtangazaji wa Azam tvKwani ule wa bukombe umetumia shingapi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu,hiyo billion 19 ni pamoja na majumba masaki,mbweni na Oysterbay na kwingineko,magari ya kifahari,safari za kwenda ku enjoy dubai na kwingineko duniani.Naomba kuwasilisha matumizi hayo kama yalivyoorodheshwa hapo juu.