uwanja unaotumika katika mchezo wa man united vs Fc Rostov ya urus ni uwanja mbaya kushuhudia

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Uwanja huu unaotumika katika mchezo wa leo wa Europa kati ya manchester united vs Fc Rostov ni uwanja mbovu kuwahi kushuhudia ukitumika kwenye michezo hii mikubwa barani ulaya jana nilisoma habari za man united nikaona jose mourinho aliwapigia Maofisa wa Uefa kuwaomba mchezo uairishwe lakini wakakataa lakini ninavyouona ni uwanja mbovu sana bora hata uwanja wa manungu wa morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…