Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wa Tabora utupiwe macho

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Leo kwenye mechi ya ligi kati ya wenyeji Kitayosce (Tabora United) na Prisons (Magereza kwa Kiswahili) ile sehemu ya kuchezea (pitch) ukweli inatskiwa ifanyiwe maboresho makubwa.
 
Huo uwanja ulikuwa wa umma CCM wakajimilikisha toka 1992. Sasa hii CCM iliyoshindwa kujenga matundu ya choo itaweza kweli kujenga uwanja?
 
Back
Top Bottom