Uwanja wa Benjamin Mkapa lazima kutakuwa na Upigaji siku ya leo

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Wote tunajua capacity ya uwanja wa Mkapa ni 60,0000. Ila ninavyojua Selcom hapa tiketi zitauzwa zaidi 70,000 na milango itachelewa kufunguliwa ili wengine wachelewe na kuambiwa uwanja umejaaa.

Watakao chelewa imekula kwao na hela zao zimeenda kwa wajanja wa town. Yaani wababaishaji waliozoea kuibia watu.

Pia, soma: Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa
 
Kujaza uwanja kwasababu ya Fungulia mbwa ni tofauti na kujaza uwanja kwa ajili ya mapenzi ya washabiki na timu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…