Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Leo January 27, 2021 Ni ufunguzi rasmi wa michuano ya Simba Super Cup, ambapo Simba SC wanapambana na Al Hilal ya kutoka nchini Sudan kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Michuano hii ya Mabingwa katika nchi zao unatarajiwa kuwa mikali na ya kusisimua ikishirikisha Simba SC, TP Mazembe kutoka Congo na Al Hilal kutoka nchini Sudan.

Usikose Ukasimuliwa, mchezo ni kuanzia saa 11:00 jioni.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana


•••Kikosi cha Simba SC

Beno Kakolanya
David Kameta
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
Joash Onyango
Taddeo Lwanga
Rally Bwalya
Claotus Chama
Maddie Kagere
Perfect Chikwende
Francisc Kahata

================

Klabu ya Simba, imeweza kuibuka na ushindi mnono wa mabao nne kwa moja dhidi ya Al Hilal katika mchezo wa michuano ya Simba Super Cup uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabao nne ya Simba yamefungwa na Rally Bwalya, Perfect Chikwende na Bernard Morrison akifunga mabao mawili

FT, Simba SC 4-1 Al Hilal
 
Free kick kuelekea Al Hilal baada gonga za Simba

Anapigaaaa Chamaaaa golikipa anadaka
 
Kikosi chetu mnakionaje,iyo nusu fainali tutafika kweli
 
16' Kona kuelekea Simba, inapigwaaaa wanakosa nafasi Inaokolewa
 
Back
Top Bottom