Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

45+3' Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa ni michuano ya Simba Super Cup

Naaaam mpira ni mapumziko ambapo timu zinatoka kwa kufungana bao moja kwa moja

Simba SC 1-1 Al Hilal
 
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi ya aina yake ni michuano ya Simba Super Cup
 
Morrison anakwendaa kwake Chikwende

Gooooooooaaal Gooooooooaaal

Perfect Chikwende anaipatia Simba SC bao la pili baada ya golikipa kuutema mpira wa Morrison

Simba SC 2-1 Al Hilal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…