Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

34' Anapiga Chamaaaa golikipa wa TP Mazembe anadaka bila wasiwasi
 
Mugalu anakwendaa kwake Chamaaaa anapigaaaa loooooo njeee
 
Mazembe viungo wao washazeeka speed hamna, wanaitaji mtu Kama fei pale
 
Mohamed Hussein anapiga krosiiiiiiii kwake Mugalu anapiga kichwaaaa njeee
 
46+2'

kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa si Simba wala Mazembe

Kona inapigwaaaa wanakosa TP Mazembe Inaokolewa

Anakwendaa Kalaba anapiga kichwaaaa eeeeh njee

Mchezaji wa TP yupo chini baada ya kupata rabsha

Naaaam mpira ni mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa si Simba wala Mazembe

HT: Simba SC 0-0 TP Mazembe

..... Ghazwat
 
Tuwekee na kikosi cha TP Mazembe acha kuwa na mahaba na timu moja tu... Thats bias
 
Inamaanisha yanga wachezaji wao viwango vyao ni vidogo kama wangekuwa wanawajenga wachezaji kina Mhilu, Lusajo na Charles Manyama walishindwaje kuwajenga
 
Toa Mugalu weka Kagere
Toa Miraji weka Morisson

Mazembe anakufa 4-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…