Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 TP Mazembe
 
Chamaaaa anapigaaaa loooooo mpira unagonga mwamba

Ilikuwa hatari sana lango la TP
 
50' Hakuna timu imeona lango la mwenzake.

Kona kuelekea Simba, inapigwaaaa inaondoshwa na beki wa Simba
 
Anakwendaa kwake Bwalya, anampasia Chama anapiga shutiiiiii... loooooo njeee

Ametoka Kalaba ameingia Mayo
 
58' Ametoka Miraji na ameingia Morrisoon upande wa Simba SC

Anakeraaaaa
 
Doooooo Aiseeee....Mazembe wanakosa nafasi ya kufunga baada ya mabeki wa Simba kuzembea
 
74' Bwalyaaaaa laaaaaa..njeee ni goal kick

Simba SC 0-0 TP Mazembe
 
76' Mabadiliko Simba SC....Ametoka Chris Mugalu na Rally Bwalya

Wameingia Chikwende na Lokosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…