Uwanja wa biafra kinondoni

Uwanja wa biafra kinondoni

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard
Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo...
hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo yote ya wazi mnayatoa tu

ova
 
Attachments

  • 20241114_163206.jpg
    20241114_163206.jpg
    322.6 KB · Views: 7
naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard
Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo...
hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo yote ya wazi mnayatoa tu

ova
Ubungo shule ishaondoka.. Kituo kifuatacho baada ya Biafra.. Ni...!
 
Ubungo shule ishaondoka.. Kituo kifuatacho baada ya Biafra.. Ni...!
Aise uwanja utauzwa wote ule
Ndomana watoto sahv hawana mahali pa kwwnda kucheza
Watoto wanaishia kukata mauno tu,hii serikali ya ajabu sana

Ova
 
Back
Top Bottom