MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa lile jina lao maarufu la Mbumbumbu, Tutakuwa tunakosea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nye mliambiwa uwanja wa kisasa utajengwa pale kwenye dimbwi la vyura na bwawa la kambare na mkakata mauno kidogo shanga zikatike.Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa,
Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa lile jina lao maarufu la Mbumbumbu, Tutakuwa tunakosea?
Unambishia nini MO Tajiri wa kwanza Afrika ya Mashariki na ya kati. Kwa yeye kujenda viwanja vitano ni sawa na wewe kununua kilo moja ya mcheleHakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa,
Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa lile jina lao maarufu la Mbumbumbu, Tutakuwa tunakosea?
Zaidi ya miaka 3......bado sake story.....leo viwanja 5 huu wehuu hakika tena sanaaaaHakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele 😀 Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa,
Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa lile jina lao maarufu la Mbumbumbu, Tutakuwa tunakosea?
Pesa ya urithi 😀 sina pesa sawa lakini siwezi kujinasibu na kudanganya umma hata kama umma wenyewe ni mbumbumbuwe kama una pesa nenda kajenge...pesa huna unawabishia watu wenye pesa.
Jibu hoja acha virojaMbona nye mliambiwa uwanja wa kisasa utajengwa pale kwenye dimbwi la vyura na bwawa la kambare na mkakata mauno kidogo shanga zikatike.