Uwanja wa Bunju haujakamilika, unazungumzia viwanja vitano, swimming pool. Je, huu sio uwendawazimu?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Your browser is not able to display this video.
Hakika mmekuja na Vigelegele mtaondoka na vigelegele πŸ˜€ Kusanyiko limeketi likaelezwa namna viwanja vitano, recreation centre sijui swimming pool zitakavyojengwa,

Wakashangilia na kupiga makofi, Wakati huo wanasahau huko Bunju wanafanya mazoezi kwenye vichuguu na mbigiri, Je, watu hawa wakiitwa lile jina lao maarufu la Mbumbumbu, Tutakuwa tunakosea?
 
Mbona nye mliambiwa uwanja wa kisasa utajengwa pale kwenye dimbwi la vyura na bwawa la kambare na mkakata mauno kidogo shanga zikatike.
 
Unambishia nini MO Tajiri wa kwanza Afrika ya Mashariki na ya kati. Kwa yeye kujenda viwanja vitano ni sawa na wewe kununua kilo moja ya mchele
 
Zaidi ya miaka 3......bado sake story.....leo viwanja 5 huu wehuu hakika tena sanaaaa
 
Mwekezaji ni mjanja mjanja! Mashabiki na wanachama ni mbumbumbu!! Aisee hii collabo acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…