Ccm ni makatili sana!Aiseeee Mnaingiaje kwenye viwanja vya kipindupindu ?
Ccm ni janga nchi hii...Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji
Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali
Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu
Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
CCM imetoa CCM imetwaa...jina la chama hicho lishukuriwe...ni jambo gani watawala wetu wamefanya kukidhi na kupita?Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji
Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali
Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu
Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji
Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali
Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu
Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
Hap watu elfu 40 wanakaa au wengi wanasimama?Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji
Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali
Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu
Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
Nadhani official capacity ni 35,000 ila mchezo ukiwa mzuri, na waswahili tunavyopenda kubanana, haiyumkiniki kufikisha 40,000 na zaidiHap watu elfu 40 wanakaa au wengi wanasimama?
Mama hii sms,muda uliotuma nashawishika kuamini uko maeneo unapiga kilaji baada ya mfungo🤣🤣.Watanzaniabtubabtattizonlanuj8nga.
Ushaona kuna Shimo, unakwenda kutumbukia kwa makusudi halafu unalalamika.
Kwani mnaenda uwanjani kuangalia mpira au kuangalia vyoo? Pale ni uwanja wa kuangalia sio kwenda kunya mtu ajisaidie nyumbani kwakeAiseeee Mnaingiaje kwenye viwanja vya kipindupindu ?
Jiji lilo chini ya chama cha ccm lihujumu mapato ya ccm 😀😀.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.
Kitangiri ninayoifahamu kumejaa ni wapi wanaweza kujenga uwanja?.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.
Wasafwa mnatita kwenye makataperaDah, Wasukuma nawadays mnatita chooni? Au sababu ziwani ni mbali