Uwanja wa Chamazi | Kombe la Shirikisho Afrika' Namungo FC Vs Rabita FC

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Namungo FC leo Jumamosi ya November 28, 2020 wanawakaribisha Al Rabita FC kutoka Sudan katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya awali ya kombe la Shirikisho barani Afrika.View attachment 1636993
 
Wamatopeni wanashiliki ndondo cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…