Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
Nilipita maeneo hayo juzi juzi kwa kifupi uwanja wa fisi upo vile vileSiku hizi sioni watu wakiongelea sana huu uwanja wa fisi sijui kwa sababu saiv ushabadilishwa na kuwa uwanja wa michezo!!!!
Wenyeji waishio karibu na uwanja wa fisi tupeni updates ili tufahamu kama ile michezo bado inaendelea au wakubwa washafumua mitambo yote.
Nasubiri majibu yenu ili nijue kisha nipange siku niende nikatalii [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app