kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mikia mmebadili mbinu kwa marefa?
Sasa mnazuia magoli. Hakuna penati dhidi yenu. Billion za Mo zinafanya kazi.
Mikia mmebadili mbinu kwa marefa?
Sasa mnazuia magoli. Hakuna penati dhidi yenu. Billion za Mo zinafanya kazi.
Ukaze na huna kiwango... Si utakazwa tu.Mtibwa lazima akaze sana kwenye hii game kwasababu katoka kupoteza game tatu mfululizo kabla ya hii ya leo.
Na tumewakaza, mtibwa ni mteja wa kudumu wa Simba kwenye ligi miaka nenda rudi.Ukaze na huna kiwango... Si utakazwa tu.
Yanga wa wapi wewe?Unatuabisha yanga na ushabiki kachori....
Nyumba yako imeshika moto unafanya nn huku?Yanga wa wapi wewe?
Unafurahia maneno yao au wewe Mikia?
Yanga wa wapi wewe?
Unafurahia maneno yao au wewe Mikia?
Shadeeya chukua Muwa mmoja nitakuja kulipa.
Simba nguvu mojaView attachment 1354584
Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya Bingwa la nchi Mnyama mkali Simba sc leo ana kazi moja tu ya kuharibu mashamba ya miwa pale manungu.
Simba nguvu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah. Mtani naona unanitambia tu leo. Lol.Wewe Shadeeya toka ulikojificha Mnyama anakula miwa huku.
Simba nguvu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
yondani, Lamine Moro unataka niendelee kukutajie ex simba walioko yanga mbona hamuwafukuziwachezaji wa 5 ex Mikia + wachezaji 4 under 20 =ushindi wa mikia....balance equation 😇👋👋😇😇