Ila wajeda bwana kuna wakati wana mizinguo, naamini wangeweza kuweka hata mabenchi ya muda wakaamua kukausha. Halafu wakaweka kiingilio buku 10. Dah au ni kulipiza kisasi kwa Simba kuishusha daraja Ruvu Shooting msimu uliopita?
Ule uwanja ukitunzwa vizuri utakuwa uwanja Bora sana huwezi kulinganisha na viwanja vyote ambavyo vimecheza round hii ya mwisho (Pitch) mpira ulikuwa unatembea vizuri