Uwanja wa JKT upigwe marufuku kutumika Ligi Kuu ya NBC

Uwanja wa JKT upigwe marufuku kutumika Ligi Kuu ya NBC

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule.

Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana.

Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha achunguzwe alifuata sheria na vigezo vipi?

Hakuna mvuto kabisaaa wa kuangalia mpira kwenye huu uwanja.
 
Viongozi wa Yanga mbona mmelala kiasi hiki? Hamuoni hii ni hujuma ya wazi?

Lengo la Tff na bodi ya ligi ni nyie kudodosha point ndio maana wanalazimisha mechi ichezwe kwenye uwanja usiochezeka

Endapo timu itadondosha point lawama zote zitakuwa kwenu..
 
Hapa inatakiwa yanga apoteze point kwa hali yoyote ili kuwapa moyo watoto pendwa wa caria
 
Huu uwanja hauna sifa ya kutumika kwa michezo ya ligi kuu, au hata ligi daraja la kwanza.
 
Huu uwanja Simba walishacheza Tena kwenye mvua hata Kama haifai timu nyingine zilishacheza.
 
kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule.

Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana.

Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha achunguzwe alifuata sheria na vigezo vipi?

Hakuna mvuto kabisaaa wa kuangalia mpira kwenye huu uwanja.
Ila tifuatifua bana, huo ni uwanja au shamba la matikiti.
 
Back
Top Bottom