Hahahahaha...sasa ukisikia uwanja wa farasi ndio huoHuu uwanja hauna sifa ya kuchezewa timu za ligi kuu.
Viongozi wa Yanga nimewazarau kuanzia leoHapa inatakiwa yanga apoteze point kwa hali yoyote ili kuwapa moyo watoto pendwa wa caria
Na unaambiwa hii ni ligi no 6 kwa ubora AfrikaWapumbavu sana hawa wanaoruhusu kuchezwa mpira kwenye dimbwi la tope namna hii
Wangefanya Nini!?Viongozi wa Yanga nimewazarau kuanzia leo
Tokea jana wangeandika barua tff kuomba mechi ikachezwe uwanja mwingineWangefanya Nini!?
Ila tifuatifua bana, huo ni uwanja au shamba la matikiti.kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule.
Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana.
Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha achunguzwe alifuata sheria na vigezo vipi?
Hakuna mvuto kabisaaa wa kuangalia mpira kwenye huu uwanja.