Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Ndege siku hizi zinaruka kutoka katika meli
Inawezekana wachina hawajui hilo baada ya kutuletea meli wanajenga kiwanja, hope magufuli akiona hii posti yako ataukataa huu uwanja wamletee meli.
 
Ndege siku hizi zinaruka kutoka katika meli
Inawezekana wachina hawajui hilo baada ya kutuletea meli wanajenga kiwanja, hope magufuli akiona hii posti yako ataukataa huu uwanja wamletee meli.
 
Apologies for the many pics am about to post...

Laikipia Airbase -The main fighter base for F-5 tiger squadron ....
Length 4000M, width 50M



From Google earth satellite Images , You can see that there are two runways, But Kenya Airforce (KAF) managed to convince google to hide the second runway and white it out.. I dont know for what reason... Since the fighter jets seem to be using the narrow runway, and you can even see the fighter jets parked outside the hangers... while at the beggining of the larger main runway, there seem to be a hanger that has been hidden... So the question is, if they are showing the fighterjets, why and what could they be hiding i the other hanger on the other side, and why are they censoring the runway---is it so that you dont see the skid marks (Maybe you can use skid marks to identify the kind of military plane, or the frequency at which the runway is used) But since the f-5 and other transport planes use the smaller runway, what kind of planes use the bigger 4000M runway?????


File:Kenya adm location map.svg - Wikipedia



You can use the scale at the bottom right to estimate the length of the runway



One end






the whole runway on the left is whitewashed, leaving only a small section on the sides still visible, you can see the other smaller runway on the right



The other end of the runway, the two hangers and a dozen fighter jets can be seen




You can see the end of the larger runway is visible, its about 50m or atleast 45m wide based on the scale on the botom right



The pic above you can see the fighter jets, I've connected that satelite image with a pic that has been posted here before showing the jets ouside the hanger taken by a camera on the ground the pic below



Also from this pic and how the jets are arranged, you can see they are arranged to take off at a moments notice using the small runway... You can see another KAF transport plane taking off on the runway
 

Attachments

  • sat 3.jpg
    70 KB · Views: 89
  • sat 8.jpg
    71.6 KB · Views: 91
f5 ni ndege za kutia aibu kwanchi hii.uganda wana s30 na bongo wana s35.sasa kenya ni kurogwa ama nini,kazi kuanika ndege za ww1.
 
f5 ni ndege za kutia aibu kwanchi hii.uganda wana s30 na bongo wana s35.sasa kenya ni kurogwa ama nini,kazi kuanika ndege za ww1.
Hawa Wakenya ni ma-King yaani mabingwa wa kununua mitumba..
 
Aaa wap KDF hawana uwanja wa kijeshi wa size ya Morogoro! Kwa jinsi mnajua kupiga kelele tungeshajua.. huu unaweza ukawa wa British forces maana wana base kule.
 
Hapa m7 kajichanganya ovyo uganda haina ubavu wa hayo madude,kiuchumi wapo chini sana.hata sioni kaa wataweza kuzimaintain katika fighting posture.
 
..bora wangejenga VIWANDA ili vijana wetu wapate shughuli za kufanya.

..au wangekarabati SHULE na HOSPITALI zetu kwasababu zina hali mbaya sana.
 
Vifo navyo vitakua vya kisasa!!!!!
Naam ni kutoka mabomu mapya yaliyovurumishwa na ndege za kisasa zilizoruka kwenye uwanja wa kisasa.

BONGE RA SIFA!!!!!
Kwa sauti ya kimagufail.
 
f5 ni ndege za kutia aibu kwanchi hii.uganda wana s30 na bongo wana s35.sasa kenya ni kurogwa ama nini,kazi kuanika ndege za ww1.

Waganda wako sawa, S-30 wako nazo, wehu hapa ni nyinyi, mnaoota tu, eti s-35, hivi ndio hamwezi tajika popote watu wa ndoto kisa na maana viroba
 


Safi kweli, umejaribu kupata hizo picha si rahisi
 
f5 ni ndege za kutia aibu kwanchi hii.uganda wana s30 na bongo wana s35.sasa kenya ni kurogwa ama nini,kazi kuanika ndege za ww1.

Cha kuchekesha zaidi hizo F5 walizinunua Jordan zukiwa secondhand, zikikutana na MiG-21 zitatolewa kamasi.
 
Waganda wako sawa, S-30 wako nazo, wehu hapa ni nyinyi, mnaoota tu, eti s-35, hivi ndio hamwezi tajika popote watu wa ndoto kisa na maana viroba
Hapa EA hakuna nchi inashinda Kenya kwa vifaaa, hao Uganda wameshinda na hizo Su-30..... Lakini kumbuka ni sita pekee kwahivyo ni tishio kama watafanya suprise attack, lakini pindi tunapoziona kwa Radar zikija..... tunazitoa kwa number, sisi tuko na f-5 ishirini kwahivyo ikiangusha ndege kama nne hizo zengine zitadengua hizo sita...

Alafu jameni, sisi si watoto bana..... tu deal na facts , si story nyingi, Su-35 ni China na Aljeria pekeyakie ndo wako nazo (Mbali na mwenyeji Russia) tafadhali tusipotezanie wakati na utoto wa sisi tuko na 'stealth ya J-20 mara tuko na J-31 mara ni Su-35" tanzania iko na J-7G ambayo ni hafifu sana kwa f-5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…