The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC kabla ya Januari, 2025.
Hivi karibuni timu ya Yanga ilitangaza kuhamia uwanja wa KMC complex kutokea Chamazi complex baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo dhidi ya Azam FC na Tabora United.
Soma pia: Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex
Chanzo: ITV