Tetesi: Uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho, timu zinazoutumia zitafute viwanja vingine

Tetesi: Uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho, timu zinazoutumia zitafute viwanja vingine

Kama ni kweli sipati picha utoporo watakavyo rudi kuomba msamaha.
Unaletaje umasikini jeuri kwenye amna.
Its all about business. Azam aache hela kisa matamshi ya mtu mmoja mmoja? Haya ni mawazo ya kimasikini
 
Hii ni aibu kubwa mno kwa simba na Yanga, ni muda sasa wakula kinyesi walichosema hawawezi ht kukishika
 
Simba na yanga zikomae kuwa na viwanja vyao kuepusha haya

Ni aibu jitu zima kama.wewe kushobokea viwanja vya watu unaona ujanja
 
Its all about business. Azam aache hela kisa matamshi ya mtu mmoja mmoja? Haya ni mawazo ya kimasikini
Haya kuwa maneno ya mtu mmoja bali yalikuwa ya taasisi na ndio maana walihama uwanja.
Wao Azam hawawezi kukataa hela ila yanga itakuwa imekula matapishi yake na waropokaji wake watajifunza kuwa na akiba ya maneno.
 
Back
Top Bottom