Au sio...Za ndani kabisa ni kwamba agizo imetolewa uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho kwahiyo timu zinazotumia huo uwanja zitafute viwanja vingine vya kutumia.
Wanapenda kuwa nyuma yetu kama mikia ya mbuzi...hahahaa..wanajua Simba hatunaga chaguzi mbovuUsishangae watanyamaza kwanza tukitangaza tunakoenda nao wakatufuata
Its all about business. Azam aache hela kisa matamshi ya mtu mmoja mmoja? Haya ni mawazo ya kimasikiniKama ni kweli sipati picha utoporo watakavyo rudi kuomba msamaha.
Unaletaje umasikini jeuri kwenye amna.
Haya kuwa maneno ya mtu mmoja bali yalikuwa ya taasisi na ndio maana walihama uwanja.Its all about business. Azam aache hela kisa matamshi ya mtu mmoja mmoja? Haya ni mawazo ya kimasikini