Uwanja wa Mkapa upo tayari kwa Mbungi la CHAN

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwonekano wa Uwanja wa Benjamini Mkapa 'Lupaso' upo tayari kwa ajili ya michuano ya CHAN2024

Agosti 2, michuano ya CHAN itaanza kwa mara ya kwanza kutimua vumbi katika ardhi ya Tanzania. Mechi ya ufunguzi itapigwa katika dimba hilo baina ya Taifa Stars na Burkina Faso. Kumbuka bado siku 5.

Your browser is not able to display this video.





​
 
Ngoja tuone mashindano yakianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…