Uwanja wa ndege Musoma kujengewa runway km 1.6

Uwanja wa ndege Musoma kujengewa runway km 1.6

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ukweli ndio huo, kwa hiyo tuache kukariri maneno ya uongo kuwa eti Ccm wanapendelea Chato peke yake.

Leo mkandarasi Beijing MS Cons En Group amekabidhiwa site huko Musoma kazi ni miezi 20

IMG_20210416_140604.jpg
IMG_20210416_140551.jpg
 
Awamu iliyopita maamuzi yalifanywa na mwenyekiti wa chama badala ya chama.
Usichanganye changanye mambo.
 
Ukweli ndio huo, kwa hiyo tuache kukariri maneno ya uongo kuwa eti Ccm wanapendelea Chato peke yake.

Leo mkandarasi Beijing MS Cosns En Group amekabidhiwa site huko Musoma kazi ni miezi 20View attachment 1753562View attachment 1753563
CCM ndio nchi, na nchi ndio CCM. Kama ulimchagua Magufuli ktk uchaguzi mkuu (kabla ya kufa kwake) basi umemchagua Samia na kama Uliwachagua hao ndio umeichagua CCM, na kama uliichagua CCM basi umechagua nchi na maendeleo
 
Ujenzi wake ukamilike haraka kwa ujenzi wa kiwanja cha chato
 
Soni, aibu, dhamira zimewasuta!
Mfugale tower itakuwaje Sasa!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ina maana hadi leo huko Musoma wana kiwanja cha ndege kama vya mbugani???
 
Awamu iliyopita maamuzi yalifanywa na mwenyekiti wa chama badala ya chama.
Usichanganye changanye mambo.
Hata nami nimemwambia hivyo hivyo.
Ila nia yake ilikuwa ni kumsafisha jiwe
 
Back
Top Bottom