Mjinga ni yule anayemwita mwenzake mjinga Na. Kwa7bu Ya Chuki binafsi Na. Kutokumpenda mtu.wenzako wanapenda vyao wewe utakufa Na. ChukiDuh mizungu kweli mijinga
Duh asanteMjinga ni yule anayemwita mwenzake mjinga Na. Kwa7bu Ya Chuki binafsi Na. Kutokumpenda mtu.wenzako wanapenda vyao wewe utakufa Na. Chuki
Sasa hapa umeandika nini? Dar airport ilibadilishwa jina na kuitwa jnia? Jiongeze mkuu.Duh asante
Mimi si mjinga wala sina chuki na ronaldo ila nilichokua nasikitika ni kule kubadilisha lile jina kwa nini wasijenge au wangoje mwingine ujengwe ndio waupe jina hilo?
Hivi hapa kwetu tunaweza kuufuta jina uwanja wa jnia tukauita samatta
Nadhani unajua jnia ni nini long form yake lakini inahusiana na airport
Wabadii sasa wait samattaSasa hapa umeandika nini? Dar airport ilibadilishwa jina na kuitwa jnia? Jiongeze mkuu.
Samata?kha.unajua historia Ya Ronaldo Na. Tunzo alizopata na heshima aliyonayo duniani?Kwa sisi hatuwezi kufny hivyo kwa7bu jina la Nyerere lina historia na ni kubwa Kuliko.huyo samata wako.kwa wao wareno issue Ya Ronaldo ni km mtume kwao.na Kulinganisha jina dhidi Ya Almeria ni sawa tuDuh asante
Mimi si mjinga wala sina chuki na ronaldo ila nilichokua nasikitika ni kule kubadilisha lile jina kwa nini wasijenge au wangoje mwingine ujengwe ndio waupe jina hilo?
Hivi hapa kwetu tunaweza kuufuta jina uwanja wa jnia tukauita samatta
Nadhani unajua jnia ni nini long form yake lakini inahusiana na airport
Ok nimekuelewa mkuu jnia ndio ronaldo we tu duh kazi ipo kwa hiyo kwa staili hiyo tutacheza lini world cupSasa hapa umeandika nini? Dar airport ilibadilishwa jina na kuitwa jnia? Jiongeze mkuu.
Samata ni wetu sote mchezaji bora africa mwaka jana umesahau mtanzania pekee kushinda tuzoSamata?kha.unajua historia Ya Ronaldo Na. Tunzo alizopata na heshima aliyonayo duniani?Kwa sisi hatuwezi kufny hivyo kwa7bu jina la Nyerere lina historia na ni kubwa Kuliko.huyo samata wako.kwa wao wareno issue Ya Ronaldo ni km mtume kwao.na Kulinganisha jina dhidi Ya Almeria ni sawa tu[
Sikatai lakini hatuwezi Kutumia jina lake Ktk jnia Bado saaanaaa.Samatta
Samata ni wetu sote mchezaji bora africa mwaka jana umesahau mtanzania pekee kushinda tuzo
Yaani umelogin kwa device iliyotengenezwa na wazungu kwenye mtandao ambao server zake zimegunduliwa na wazungu na bado unawaita wajinga? Kweli maajabu hayatakuja kwisha.Duh mizungu kweli mijinga
Sio kweli nimefanya yote hayo through ChineseYaani umelogin kwa device iliyotengenezwa na wazungu kwenye mtandao ambao server zake zimegunduliwa na wazungu na bado unawaita wajinga? Kweli maajabu hayatakuja kwisha.
Duh asante
Mimi si mjinga wala sina chuki na ronaldo ila nilichokua nasikitika ni kule kubadilisha lile jina kwa nini wasijenge au wangoje mwingine ujengwe ndio waupe jina hilo?
Hivi hapa kwetu tunaweza kuufuta jina uwanja wa jnia tukauita samatta
Nadhani unajua jnia ni nini long form yake lakini inahusiana na airport
Sammata akiwa kama ronaldo tutamtunuku uwanja wa ndegeDuh asante