Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Arusha kwenye hatuna tunatumia wa KIAJana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.
Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?
Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?
Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?
Hata Tanga hawanaMkubwa tumeambiwa airport ya Chato ni airport ya mkoa wa Geita. Ni mkoa upi mwingine wenye 'airport ya mkoa' kama ile ya Chato?
JK born town alikuwa anamng'ong'a Magufuli. Naye kwa ushamba wake akajua anasifiwa kwa kujenga airport ya kimataifa shambani kwake kama Mobutu na Gbadolite yakeJana JK alitetea uwanja wa ndege wa Chato akasema ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita, na tena akawauliza wasikilizaji kama hawakutaka mkoa huo uwe na uwanja wa ndege.
Nami namuuliza JK, uwanja wa ndege wa mkoa wa Pwani uko wapi?
Mkoa wa Pwani umesambaa kuanzia Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Kibiti, Rufiji, kote huko uwanja wake wa ndege uko wapi? Mkoa wa Morogoro una kale ka-strip ka vumbi, je nao haustahili kuwa na airport?
Je, Simiyu, Manyara nako airports zao ziko wapi?
Arusha kuna airport iko Kisongo. Lakini siyo kama ile ya Chato, inafanana na hii ya Dodoma.Arusha kwenye hatuna tunatumia wa KIA
Havina hazi ya kuwa viwanja vya ndege mkuu, Chatto hata Mwanza wanasumbiri lakini ndege zinazotua ni za mtukufu mara mbili kwa mwaka.Arusha kuna airport iko Kisongo. Lakini siyo kama ile ya Chato, inafanana na hii ya Dodoma.
Pia kuna airports nyingine za mikoa kama ile ya Nduli (Iringa), ya Mbeya (iko eneo la mafiati), ya Moshi (iko Soweto), ya Tanga nk. Katika hizo zote hakuna inayokaribia ukubwa wa ile ya Chato.
Kweli kabisa, kama ule wa Morogoro ni airstrip tu imeota majani wafanyakazi huwa wanafyeka kwa kwanja na kupitisha ufagio kabla ndege haijatua, na ndege zake ni vile vidogo vibajaji. Iringa pale Nduli hali ni hiyohiyo. Shinyanga pale Ibadakuli, Bukoba na Mtwara vyote havikaribii hiyo Chato Airport. Hata Songwe Airport ambayo inapokea ndege kila siku asubuhi na jioni nimeambiwa ni ndogo kuliko hiyo Chato.Havina hazi ya kuwa viwanja vya ndege mkuu, Chatto hata Mwanza wanasumbiri lakini ndege zinazotua ni za mtukufu mara mbili kwa mwaka.
Tunafanyiwa mambo ya hovyo sn na huu utawalaKweli kabisa, kama ule wa Morogoro ni airstrip tu imeota majani wafanyakazi huwa wanafyeka kwa kwanja na kupitisha ufagio kabla ndege haijatua, na ndege zake ni vile vidogo vibajaji. Iringa pale Nduli hali ni hiyohiyo. Shinyanga pale Ibadakuli, Bukoba na Mtwara vyote havikaribii hiyo Chato Airport. Hata Songwe Airport ambayo inapokea ndege kila siku asubuhi na jioni nimeambiwa ni ndogo kuliko hiyo Chato.
Kilichonishangaza, licha ya ukubwa wa Chato airport, Tanzania Airports Authority (TAA) haijaiorodhesha katika tovuti yake kivyovyote.
Tovuti ya TAA Tanzania Airports Authority imeorodhesha airports zilizoko nchini katika categories 3: international airports, domestic entry and exit, na airstrips. Chato airport haijaorodheshwa. Wanajua sababu.
Tanga upoHata Tanga hawana
Unafikia ule wa Chato kwa viwango?Tanga upo
Unaitwaje na ndege za aina gani zinatua?Tanga upo
Wewe unajua mkoa wa Geita?Mkuu Geita ni sawa na pwani kijografia?
Mkuu Geita ni sawa na pwani kijografia?
Eti ee? Pale mtu anapodhani mawazo yake ni "Universal" !JK is a street smart dude! Alisema vile kwa makusudi ili kuwashtuwa watu waje na hoja hii kuwa yeye mbona hakujenga uwanja wa ndege mkoa wa pwani?