Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu.
Sisi wananchi wa kanda ya ziwa tunaomba majibu na ufafanuzi kabla ya oktoba. Mimi ni mwana CCM ninapata shida sana chama changu kitapata changamoto ya maswali magumu kuhusu utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2025.
Kama kuna watu wanakwamisha makusudi mama awatoe madarakani watamfanya asitimize malengo yake.
Pia soma