Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Vodacom Premier League VPL, Coastal Union Vs Simba SC

Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa
😂😁😀😄😏😄😃😀😁😂🤣😅😄😄😄😀😁
Pilau Hii Ya Leo Acha Kabisa!!!
 
Je angefungwa Simba SC mngesema haya?.. Simba ni Taifa Kubwa
Hata umfunge magoli kumi, kiwango cha Simba hakitustui kwa kumpiga coastal. Mpira ni mchezo wa wazi unaonekana, wachezaji wa coastal wanaonekana kabisa wakiwa wanaamua kutoa ofa ya mipira kwa wachezaji wa Simba tena wakiwa golini kwao.
 
Yanga alimpofunga Coast goli 8 pale Taifa Simba nao waliimba mapambio kama yako. Tushike lipi sasa? Acheni wivu wa kike
Acha kupanic kwa vitu vidogo mzee, ungejua mimi sichezi disko vumbi wala usingepata tabu kuniquote,
 
Mpira umeanza kipindi hiki cha pili

Huku Simba SC wakimtoa John Bocco na nafasi yake ikichukuliwa na Ajibu Migomba
 
50' Coastal wanacheza kwa pasi za hapa na pale kwa dakika hizi za mwanzo

Coastal Union 0-5 Simba SC
 
54' Mwangosi anatoka na anaingia David upande wa Coastal Union

Umiliki wa mpira umehamia upande wa Simba sasa..!
 
59' Chamaaaa Goooooooooooooooal Goooooal

Ilipigwa pasi kati ya Dilunga, Chama, Ajibu na hatimaye Triple C akamalizia

Coastal Union 0-6 Simba SC
 
HATA KAMA TUNASHIDA.
1. JOASH ONYANGO.
2. PASCAL WAWA.
3. GERSON FLAGA.
4. KAHATA NYAMBURA.
5. CRISS MUGALU.
6. LARRY BWALYA.

NAMTAFAKARI MORISON....BENARD MORISON

HAWA NI WACHEZAJI MIZIGO KWA SIMBA WOOTE WAONDOKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…