Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Vodacom Premier League VPL, Coastal Union Vs Simba SC

Ajibu Migombaaaaaa njeeeeee, alipiga kichwa lakini mpira umetoka nje ya lango la Coastal
 
72' Morrisoooooon, golikipa Abbas anacheza, doooh ilikuwa hatari sana lango la Coastal
 
Pamoja na hattrick yake leo
Lakini kwa maoni yangu bocco sio mchezaji wa kumtegemea hasa mechi za kimataifa.
 
Anawakera Morrison anakwendaa anapiga loooooo nje.. Ibrahim Ajibu anamwambia ungeleta hapa

Ilikuwa nafasi kwa Simba
 
83' Anawekwa chini pale, ni free kick kuelekea Coastal Union

Anapiga Chamaaaa Gooooooooooooooooooooaaal

Triple C anapiga msumari wa saba

Coastal Union 0-7 Simba SC
 
83' Anawekwa chini pale, ni free kick kuelekea Coastal Union

Anapiga Chamaaaa Gooooooooooooooooooooaaal

Triple C anapiga msumari wa saba

Coastal Union 0-7 Simba SC
Hahaha hili biriani hili dooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…