Uwanja wa Simba Bunju Wanoga

Tanzania bado kuna safari ndefu sana ktk suala zima LA maendeleo endelevu.
Timu za Simba NA Yanga kama zingekuwa kwenye nchi zingine hadi Leo hii ndio zingekuwa timu "bilionea" KWA ukwasi WA pesa. Kununua tu kiwanja basi Watz wameona kama timu imeendelea sana kumbe Ni majanga tupu.Kutokana NA ukongwe WA timu hizi, mpaka sasa ingekuwa hata NA viwanja viwili vikubwa vya kuweza kuchukua watazamaji angalau 45,000 kwenye kila mji mkubwa hapa nchini Tz. KWA kuwa vichwani KWA Watu weusi wengi hakuna kitu matokeo yake ndio hivi tena
 

Usikute wewe unakaa nyumba ya kupanga!

Hebu tuambie wewe ni kipi ulichokifanya katika maisha yako cha kukufanya uwe mwerevu kwenye maendeleo
 
Tuulize sisi tunaoshinda Bunju hapo uwanjani.
Siyo kusema tu tuna makengeza.
Huu uwanja haujazingatia utaalam wowote

Sasa mabuldozer yaliletwa pale kama uremvo lakini mwishoni vibarua na saidia fundi ndio walikuwa wanalima uwanja na kusawazisha.

Hahahaha...yaani ni kama yai kweli

Mvua ikinyesha utajaza maji hapo na kipindi cha jua kutakuwa na vumbi la kutosha.

Yaani walishindwa kuweka land surveyors na engineers wawasaidie kuanzia designing ya eneo.

Poor Mikia.....!!!
 
Wenye wivu wajinyonge baba wenye wivu wajinyonge *2
Hapa ndio umeharibu sasa.

Azam ana Uwanja miaka nenda rudi ambao unachezewa mpaka mechi za Kimataifa na hakuna aliyejinyonga ije kuwa huo ambao hata majukwaa hauna. πŸ€”

Tooba. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Hapa sawa na mzee wa miaka 60 afurahie na kujigamba kwa kununua baiskeli! Wale Gwambina wametoa somo zuri sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…