Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Raha ya marathon kumalizia
 
Labda hufatilii mpira jombii zaidi ya hii ligi ya bongo, juzi kati Marcus rashford alipogwa redcard vs Burnley kwa kosa kama hilo la ngasa, kwenye mpira haya yanatokea sana na yataendelea kutokea banana binadamu siyo wote wanaoweza kuzuia temper, akishajaa anajikuta anafanya kitendo cha ajabu ambalo hadi yeye mwenywe anakuja kulijutia.
Binadamu tuko hivyo, sisi siyo malaika ndiyo maana tumejiwekea sheria ili uki misbehave tukuchukulie hatua.
 
Raha ya marathon kumalizia
mbinu moja wapo ya kumshinda mpinzani wako katika marathon ni kumtangulia mpinzani wako kwa maana utakuwa unamchosha na kumfanya akate tamaa kwa maana kila akichirimika akukute we unakuwa mbali zaidi na ndivyo ushindi utapata
 
Tutaheshimiana tu
 
mbinu moja wapo ya kumshinda mpinzani wako katika marathon ni kumtangulia mpinzani wako kwa maana utakuwa unamchosha na kumfanya akate tamaa kwa maana kila akichirimika akukute we unakuwa mbali zaidi na ndivyo ushindi utapata
Yanga baskeli ya barafu alafu tunakaribia saa 6 mchana
 
Huu ndio ukweli ambao mashabiki wengi wa yanga hawataki kabisa kuukubali, kikosi kibovu kama hiki cha yanga kikichukua ubingwa itakuwa ni fedheha kubwa kabisa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Amini nakuambia, kuna timu za aina mbili tu, zinazoongoza kwa ushindi na zinazoongoza kwa ballposition
 
Na Ndio mechi pekee yanga itafungwa msimu huu
Yanga hawezi pata alama tatu mbele ya simba na azam, hapo lazima afungwe breki, hasa akikutana na Simba ata waweke magolikipa kumi mbele acheze mtu mmoja game ya raundi ya pili kichapo kiko pale pale.
 
Hahahaaa, umesahau ya boko kumpiga mwenzie ngumi?
 
Simba kufungwa na Mbao hakubadilishi maana na uhalisia kwamba Yanga wanna timu mbovu Quality ya wachezaji wa Yanga inaonekana japo matokea yapo upande wao kwa sasa
Tofauti ya Simba na Yanga ni moja..
Yanga wanakasi kubwa...ndio maana wapinzani wanapata taabu sana...Azam hawawezi kumfung
Ni aibu mkuu Yanga kuongoza ligi timi mbovu sana
Manara ndio kasema hivyo..teh teh teh
 
Bahati na upepo ndio vinavyowabeba ila si kitambo kidogo mtaanza kutafutana, amin amin nakuambia.
umeanza kutazama mpira lini??? Yanga bingwa mara 27... ukiona Yanga anachukua points mikoani ujue anachukua ndoo....mara ya mwisho Yanga kufungwa Dar es salaam na timu za mikoani ilikuwa 2009....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…